About

Hallow,
    Blog hii itakupa nafasi ya kusoma Simulizi zenye kusisimua na kuburudisha pia kuelimisha kupitia Watunzi mbalimbali wenye vipaji hivi vya utunzi. Lengo ni kufikisha tasinia yao kwako na pia kuwapa uwanja wa kuonyesha umahiri wao kwa jamii. Tafadhali ungana nao kwa kuzisoma na kuwapa support kwa kile unachodhani kinaweza kuwapeleka mbele zaidi.

   Kama unaamini unakipaji cha utunzi wa simulizi. Wasiliana nasi uweze kupata nafasi ya kuweka hadithi zako humu.
Faida utakayopata
  • utapata wasomaji wengi kimataifa
  • utapata wadhamini
  • utaweza kuhifadhi kumbukumbu za hadithi zako humu kwa muda mrefu.
KARIBU
David J Mangare
manager

No comments:

Post a Comment

MWALIKO

Hallow,

kama unaamini unakipaji cha utunzi wa simulizi. Wasiliana nasi uweze kupata nafasi ya kuweka hadithi zako humu.

Faida utakayopata

utapata wasomaji wengi kimataifa
utapata wadhamini
utaweza kuhifadhi kumbukumbu za hadithi zako humu kwa muda mrefu.

KARIBU

David J Mangare

manager